Torri Huske

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Torri Huske
Nchi Marekali

Victoria Huske (amezaliwa Disemba 7, 2002)[1] ni mwogeleaji wa Marekani.

Ameshikilia rekodi ya kuogelea mtindo wa kipepeo kwa mita 100. Alishindana kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020, nakushinda medali ya fedha kwa mita 4*100 kwa kupokezana , akiogelea mtindo wa mguu wa kipepeo kwenye finali, akishikilia nafasi ya nne mita 100 mtindo wa kipepeo, akashika nafasi ya tano kwenye mita 4*100 mbio za kupokezana mitindo tofauti ambapo aliogelea mtindo wa kipepeo kwejye raundi ya mwisho. Michuano ya dunia ya 2019, alishinda medali tano za dhahabu na medali moja ya fedha

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Victoria Huske (en). www.usaswimming.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-12-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.