Nenda kwa yaliyomo

Tony Trew

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tony Trew (akijulikana pia kama Anthony Andrew Trew) (alizaliwa Cape Town, 6 Julai 1941) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini na mchambuzi wa usemi. Trew alikuwa mmoja wa wahariri wa kitabu muhimu cha Language and Control (1979), ambacho kilisaidia kuanzisha isimu hakiki kama nyanja ya kitaaluma.[1]

  1. "Obituary: Antony Trew". The Independent (kwa Kiingereza). 1996-01-23. Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Trew kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.