Tony Ressler
Mandhari
Antony P. Ressler (alizaliwa Oktoba 12, 1960) ni mfanyabiashara nchini Marekani.[1]Alianzisha kampuni za uwekezaji za Apollo Global Management mwaka 1990, na Ares Management mwaka 1997.[2]Ressler pia ni mmiliki wa timu ya Atlanta Hawks ya mpira wa kikapu, aliyoinunua mwaka 2015. Alimuoa mwigizaji Jami Gertz. Utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 10.5 mwaka 2026.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Arash Massoudi (Aprili 1, 2014). "Ares hopes to raise $500m in IPO". Financial Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "People:Ares Management LP (ARES.K)". Reuters. Iliwekwa mnamo Februari 18, 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Forbes profile: Antony Ressler". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-22.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tony Ressler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |