Nenda kwa yaliyomo

Tony Harrison

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tony Harrison (30 Aprili 193726 Septemba 2025) alikuwa mshairi, mtafsiri na mwandishi wa michezo wa Uingereza. Alizaliwa Beeston, Leeds, na kusoma masomo ya kale Leeds Grammar School na Chuo Kikuu cha Leeds.

Alikuwa mmoja wa waandishi mashairi mashuhuri Uingereza, na kazi zake nyingi zimeonyeshwa kwenye Royal National Theatre. Alijulikana kwa shairi lake "V" na tafsiri zake za michezo ya kale kama Oresteia, Lysistrata, The Misanthrope, na The Mysteries.

Pia alijulikana kwa kusema wazi maoni yake, hasa kuhusu Vita vya Iraq. Mnamo 2015 alitunukiwa tuzo ya David Cohen, na 2016 alipewa tuzo ya Premio Feronia huko Roma. [1][2][3][4][5][6]

  1. Dominic Head (26 Januari 2006). The Cambridge Guide to Literature in English. Cambridge University Press. ku. 488–489. ISBN 978-0-521-83179-6. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Head20062
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Head20063
  4. "HARRISON, Tony". Who's Who 2012. A & C Black. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Harrison, Tony (1991). A Cold Coming. Newcastle upon Tyne: Bloodaxe Books. ISBN 1-85224-186-1.
  6. "Celebrated Leeds-born poet and playwright Tony Harrison receives prestigious Leeds Award". Leeds City Council News (kwa english). Iliwekwa mnamo 2021-09-14.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Harrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.