Tommaso Maria Zigliara
Mandhari

Tommaso Maria Zigliara, O.P. (29 Oktoba 1833 – 11 Mei 1893) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki, mwanachama wa shirika la Wadominiko, mwanateolojia, mwanafalsafa, na kardinali kutoka Korsika.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kelly, William J. (2000). "Zigliara, Tommaso Maria". In: Biographical Dictionary of Christian Theologians. Westport, Conn: Greenwood Press, p. 549.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |