Nenda kwa yaliyomo

Tomie dePaola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Anthony "Tomie" dePaola (Alizaliwa 15 Septemba 1934 -Alifariki 30 Machi , 2020) alikuwa mwandishi na mchoraji wa Marekani ambaye alitunga zaidi ya vitabu 260 vya watoto, kama vile Strega Nona.[1] Alipokea Tuzo ya Urithi wa Fasihi ya Watoto kwa mchango wake wa maisha yote katika fasihi ya watoto ya Marekani mwaka wa 2011.[2]

  1. Magra, Iliana; Carmel, Julia (2020-03-31). "Tomie dePaola, 'Strega Nona' Author and Illustrator, Dies at 85". The New York Times (kwa American English). ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2021-01-08.
  2. "Tomie dePaola, author of beloved 'Strega Nona,' dies at 85". NBC News (kwa Kiingereza). 31 Machi 2020. Iliwekwa mnamo 2020-03-31.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)