Tomasz Radzinski
Mandhari

Tomasz Radzinski (alizaliwa Desemba 15, 1973) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu ambaye alicheza kama mshambuliaji. Aliichezea timu kadhaa ikiwemo North York Rockets nchini Kanada, Germinal Ekeren, R.S.C. Anderlecht (ambapo alishinda ubingwa wa kitaifa mara mbili), Lierse na Waasland-Beveren huko Ubelgiji, Everton F.C na Fulham F.C. nchini Uingereza na Skoda Xanthi F.C nchini Ugiriki. Alizaliwa Polandi na alichezea timu ya taifa ya Kanada baada ya kuhamia Kanada akiwa kijana na alicheza mechi 46 za kimataifa kati ya mwaka 1995 na mwaka 2009.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tomasz Radzinski is nieuwe technisch directeur Lierse‚ nieuwsblad.be, 17 April 2013
- ↑ Radzinski trekt de deur bij Lierse helemaal dicht Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., sporza.be, 6 February 2015
- ↑ Hall, Dave (31 Mei 1993). "Rockets blast Wheels, 5-0". Newspapers.com (kwa Kiingereza). The Windsor Star. uk. 9. Iliwekwa mnamo 25 Machi 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomasz Radzinski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |