Nenda kwa yaliyomo

Tomasz Grysa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tomasz Grysa (alizaliwa 16 Oktoba 1970) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi, Askofu mkuu, Balozi wa Papa kwa Madagaska, Mauritius, Shelisheli, na Mjumbe wa Kitume wa Visiwa vya Comoro.[1]

  1. ion (2023-04-26). "Pravind Jugnauth reçoit le nonce apostolique auprès de Maurice". IONNEWS (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-01-04.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.