Nenda kwa yaliyomo

Tomás Andrés Mauro Muldoon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tomás Andrés Mauro Muldoon, O.F.M. (8 Agosti 193814 Juni 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Marekani ambaye alihudumu nchini Honduras. Alikuwa Askofu wa Juticalpa kuanzia 1983 hadi 2012. Alifariki dunia huko Framingham, Massachusetts, mnamo 14 Juni 2024, akiwa na umri wa miaka 85.[1]<ref>

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.