Tomás Alarcón
Mandhari
Tomás Jesús Alarcón Vergara (alizaliwa 19 Januari 1999) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Chile, anayekipiga kwa klabu ya Colo-Colo na timu ya taifa ya Chile. Kwa kawaida hucheza kama kiungo wa ulinzi, lakini pia ana uwezo wa kucheza katika nafasi ya beki wa kati.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Alarcón brilla en Rancagua y aleja a O'Higgins de Colo Colo" [Alarcón shines in Rancagua and takes O'Higgins away from Colo Colo] (kwa Kihispania). Diario AS. 9 Desemba 2020. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomás Alarcón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |