Tokat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:12, 10 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q183651 (translate me))
Miongoni mwa majengo ya kale ya mjini hapa.

Tokat ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyeusi ya Anatolia huko nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Tokat. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji wa Tokat una wakazi takriban 113,100 wanaoishi katika mji huu.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tokat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.