Togg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Togg nembo

Togg (kifupi cha jina la Kituruki: Türkiye'nin Otomobili Girişim Grubu A.Ş. yaani Turkey's Automobile Joint Venture Group Inc.) ni kampuni ya magari ya Uturuki ambayo ilianzishwa kama ubia mwaka wa 2018.

Kampuni hiyo imetangaza kwamba gari lao la kwanza litakuwa tayari kwa uzalishaji wa mfululizo mnamo 2022.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Togg kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.