Tobias Smollett
Mandhari
Tobias George Smollett (aliyebatizwa 19 Machi 1721 – 17 Septemba 1771) alikuwa mwandishi na mpasuaji kutoka Uskoti.[1]
Alijulikana zaidi kwa kuandika riwaya za aina ya pikareski kama vile The Adventures of Roderick Random (1748), The Adventures of Peregrine Pickle (1751) na The Expedition of Humphry Clinker (1771),[2] ambazo zilikuwa na ushawishi mkubwa kwa waandishi wa baadaye wa Uingereza, akiwemo Charles Dickens.
Riwaya zake zilihaririwa na kuchapishwa kwa mabadiliko mengi na wachapishaji wa wakati huo; matoleo ya kitaaluma (authoritative editions) ya kila kazi yalihaririwa na Dk O. M. Brack Jr na wengine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lewis, Jeremy (2003). [(http://worldcat.org/oclc/606995602) Tobias Smollett]. Jonathan Cape. OCLC 606995602.
{{cite book}}: Check|url=value (help) - ↑ MacPherson, Hamish (14 Machi 2021). [(https://www.thenational.scot/news/19158932.tobias-smollett-pioneering-novelist-turned-writing-hard-times/) "Back in the Day - Mwandishi mbunifu aliyebadili maisha baada ya kukumbwa na shida"]. The National - Seven Days. uk. 11. Iliwekwa mnamo 14 Machi 2021.
{{cite news}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tobias Smollett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |