Tito Trocchi
Mandhari
Tito Trocchi (1 Mei 1864 – 12 Februari 1947) alikuwa askofu wa Italia katika Kanisa Katoliki ambaye alifanya kazi katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani. Alikua askofu mkuu mwaka 1915 na aliongoza uwakilishi wa kipapa nchini kuba na Bolivia.
Aliishi miaka ishirini ya mwisho ya maisha yake akifanya kazi katika Kuria ya Roma.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la VII. 1915. ku. 505 (delegate), 519 (titular). Iliwekwa mnamo 15 Mei 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |