Tirich Mir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mout Noshaq

Tirich Mir ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,690 juu ya usawa wa bahari. Ni mrefu kuliko milima yote ya Hindu Kush.

Uko nchini Pakistan.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tirich Mir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.