Nenda kwa yaliyomo

Tinus de Jongh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martinus Johannes "Tinus" de Jongh (31 Januari 1885 huko Amsterdam17 Julai 1942 huko Bloemfontein ) alikuwa mmoja wa wachoraji maarufu wa nchini Afrika Kusini .

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Tinus alifunga ndoa na Johanna Maria Verhoef mnamo Aprili 1911. Walikuwa na watoto 3 ambao ni Wilhelmina, Petronella na Gabriel de Jongh, ambaye alikuja kuwa msanii wa mandhari nchini Afrika Kusini. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tinus de Jongh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.