Nenda kwa yaliyomo

Timothée Modibo-Nzockena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timothée Modibo-Nzockena (1 Januari 195024 Machi 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipadrishwa mwaka 1980 na baadaye akateuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Franceville, Gabon, mnamo mwaka 1997.

Alihudumu kama askofu hadi kifo chake mnamo 24 Machi 2016.[1]

  1. "Diocese of Franceville, Gabon". GCatholic. Iliwekwa mnamo 2018-04-16.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.