Nenda kwa yaliyomo

Time Trax

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Time Trax
Capt. Darien Lambert na SELMA
Capt. Darien Lambert na SELMA
Jina la kipindi Time Trax
Aina kipindi Uzushi wa Kisayansi
Muda saa. 1
Mtunzi Harve Bennett

Jeffrey M. Hayes
Grant Rosenberg

Nyota Dale Midkiff

Elizabeth Alexander

Nchi Marekani/Australia
Kampuni Prime Time Entertainment Network
Hewani tangu 20 Januari, 1993
Mwisho wa kuwa hewani 3 Desemba 1994
Idadi ya sinema 44

Time Trax ni mfululizo wa vipindi vya televisheni uliokuwa unarushwa hewani na Prime Time Entertainment Network ya Amerika/Australia. Ilikuwa filamu ya ushirika yaani makampuni mawili, moja kutoka Marekani na lingine kutoka Australia, wakatengeneza filamu hiyo ya kisayansi na kuanza kurushwa hewani tangu mnamo mwaka 1993. Filamu inamzungumzia ofisa mmoja wa polisi aliyeutumwa kwenda kuwakamata wahalifu waliokuwa wamefungwa jela kisha wakatoroka. Filamu hii ndio ilikuwa ya mwanzo na ya mwisho kwa mataarisho ya televisheni ya Lorimar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]