Tim Brand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timothy Daniel Brand (alizaliwa Novemba 29 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa magongo Mwaustralia anayecheza kama mshambuliaji kwenye klabu ya Uholanzi ya Klein Zwitserland na timu ya taifa ya Australia.[2]

Brand alizaliwa Uholanzi na amekulia Chatswood, jimbo la New South Wales.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tim BRAND. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. Tim Brand: Australia’s very own Dutchman (nl). Hockey.nl. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  3. Hockey Australia. Tim Brand (en). www.hockey.org.au. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tim Brand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.