Til Brugman
Mandhari
Mathilda (Til) Brugman (16 Septemba 1888, Amsterdam – 24 Julai 1958, Gouda) alikuwa mwandishi, mshairi, mtafsiri, na mwanalingwistika kutoka nchi ya Uholanzi.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Kuanzia mwaka 1926 hadi 1936, aliishi mjini The Hague na baadaye Berlin nchini Ujerumani akiwa na msanii wa Kijerumani wa mtindo wa Dada, Hannah Höch.[1] Mnamo mwaka 1935, alichapisha kitabu cha Scheingehacktes: Grotesken mit Zeichnungen von Hannah Höch.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Corinne, Tee A (2002). "Höch, Hannah". glbtq.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-06.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Til Brugman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |