Thomas Williams (kardinali)
Mandhari
Thomas Stafford Williams ONZ ChStJ (20 Machi 1930 – 22 Desemba 2023) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki la New Zealand na Askofu Mkuu wa tano wa Wellington kutoka 1979 hadi 2005.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Emeritus". catholic.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-31. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Williams, Thomas Stafford". Catholic News Agency. Catholic News Agency (CNA). Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |