Thomas Südhof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Südhof

Thomas Südhof (amezaliwa 22 Desemba, 1955) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Tangu 1983 aliishi na kufanya kazi nchini Marekani Hasa alichunguza seli na mawasiliano yake. Mwaka wa 2013, pamoja na Randy Schekman na James Rothman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Südhof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.