Nenda kwa yaliyomo

Thomas Sanon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Sanon (amezaliwa 8 Septemba 1947) ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Burkina Faso.[1]

Tangu mwaka 2003, amekuwa Rais wa Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Burkina Faso (Economic and Social Council of Burkina Faso).

Chini ya Rais Blaise Compaoré, aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na pia kuhudumu kama balozi.

  1. "Recherche de personnalités du Burkina". www.petiteacademie.gov.bf. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-28. Iliwekwa mnamo 2026-05-29.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Sanon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.