Nenda kwa yaliyomo

Thomas P. Salmon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Paul Salmon

Thomas Paul Salmon (19 Agosti 193214 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa wa chama cha Kidemokrasia cha Marekani aliyewahi kuhudumu kama gavana wa 75 wa jimbo la Vermont kuanzia 1973 hadi 1977. [1]

  1. "Thomas P. Salmon". National Governors Association. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)