Nenda kwa yaliyomo

Thomas Luhaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Luhaka ni mwanasiasa wa Kongo. Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Waziri wa Elimu ya Juu na Vyuo Vikuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo chini ya serikali ya Ilunga iliyodumu kuanzia Septemba 2019 hadi Aprili 2021. Pia ni mbunge katika bunge la taifa.

Yeye ni mwanachama wa chama cha Union for Democracy and Social Progress.[1]

  1. Marina. "Democratic Republic of Congo announces 65-strong cabinet under Tshisekedi's administration - Political Analysis South Africa". www.politicalanalysis.co.za (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-29. Iliwekwa mnamo 2026-05-26.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Luhaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.