Thomas Joseph Toolen
Mandhari
Thomas Joseph Toolen (28 Februari 1886 – 4 Desemba 1976) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.
Alihudumu kama Askofu wa Mobile kutoka 1927 hadi 1969, na alipewa cheo binafsi cha Askofu Mkuu mnamo 1954.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Thomas Joseph Toolen". Catholic-Hierarchy.org.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |