Nenda kwa yaliyomo

Thomas John Curry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas John Curry (alizaliwa 17 Januari 1943) ni askofu wa Kanisa Katoliki mwenye asili ya Eire na Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Los Angeles, California, kuanzia 1994 hadi 2018. Kuanzia 1994 hadi 2013, alikuwa mvikari wa kichungaji wa Kanda ya Kichungaji ya Santa Barbara ndani ya jimbo hilo.

Curry alilazimika kujiuzulu mnamo 2013 kutoka nafasi yake ya uvikari kutokana na ushiriki wake katika kujaribu kuficha madai ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya mapadre wa jimbo hilo.[1]

  1. "Pope Francis Accepts Resignation of Bishop Thomas Curry of Los Angeles | USCCB". www.usccb.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-05.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.