Thomas Delaney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Delaney

Thomas Joseph Delaney (alizaliwa 3 Septemba 1991) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund iliyopo nchini ujerumani na timu ya taifa ya Denmark.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Delaney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.