Nenda kwa yaliyomo

Thomas Cooray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Benjamin Cooray (28 Desemba 190129 Oktoba 1988) alikuwa kardinali wa Sri Lanka wa Kanisa Katoliki ambaye aliwahi kuwa Askofu Mkuu wa Colombo kuanzia mwaka 1947 hadi 1976. Papa Paulo VI alimteua kuwa kardinali mwaka 1965.

Mchakato wa kumtangaza kuwa mtakatifu ulianza mwaka 2010, na amepewa cheo cha Mtumishi wa Mungu.[1]

  1. New York Times. Thomas B. Cooray, Cardinal, 86 November 1, 1988
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.