Nenda kwa yaliyomo

Thomas Brdarić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Brdarić ( amezaliwa 23 Januari 1975) ni kocha wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ujerumani na mchezaji wa zamani aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji. Kwa sasa ni meneja wa klabu ya Kosovo, Drenica.[1]

  1. "Brdaric, Thomas" (kwa Kijerumani). Kicker. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Oktoba 2012. Iliwekwa mnamo 29 Januari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Brdarić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.