Nenda kwa yaliyomo

Thomas Berthold

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Berthold (alizaliwa 12 Novemba 1964) ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha kutoka Ujerumani aliyecheza kama beki. Hivi sasa anafanya kazi kama mchambuzi na mtoaji maoni wa soka katika vituo mbalimbali vya televisheni.[1]

  1. Arnhold, Matthias (2 Julai 2015). "Thomas Berthold - Matches and Goals in Bundesliga". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Berthold kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.