Nenda kwa yaliyomo

Thomas & Friends

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas & Friends ni seti ya vipindi vya televisheni kwa watoto ya Uingereza iliyoundwa na Britt Allcroft.

Mfululizo huo unatokana na Msururu wa Reli na Mchungaji Wilbert Awdry na mtoto wake Christopher.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas & Friends kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.