Therese Krupp
Mandhari
Therese Krupp (1790-1850) alikuwa mfanyabiashara wa viwanda kutoka Ujerumani. [1]Aliolewa na Friedrich Krupp na baada ya mume wake kufariki mwaka 1826 alichukua usimamiz wa kampuni ya Krupp.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Therese Krupp", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2025-03-21, iliwekwa mnamo 2025-07-08