Nenda kwa yaliyomo

The Naked Ape (kitabu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Naked Ape ni kitabu cha 1967 cha kilichoandikwa na mtaalam wa wanyama na ethologia kutoka Uingereza Desmond Morris ambacho kinawatazama wanadamu na kuwalinganisha na wanyama wengine. The Human Zoo, kitabu cha ufuatiliaji cha Morris ambacho kilichunguza tabia za watu katika miji, kilichapishwa katika 1969.[1][2]

  1. 1967: The Naked Ape steps out (kwa Kiingereza (Uingereza)), 1967-10-12, iliwekwa mnamo 2025-09-22
  2. "Island Trees Sch. Dist. v. Pico by Pico, 457 U.S. 853 (1982)". Justia Law (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-09-22.
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Naked Ape (kitabu) kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]