Nenda kwa yaliyomo

The Big Boss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Bruce Lee kutoka katika filamu ya The Big Boss

The Big Boss (kwa Kichina: 唐山 大兄; jina lingine :Fists of Fury) ni filamu ya mapigano kutoka Hong Kong ya mwaka 1971.

Filamu hii ilitungwa na kutengenezwa na Lo Wei, kwa msaada kutoka kwa Bruce Lee, na ilikuwa filamu yake ya kwanza.

Washiriki wa filamu hii[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Big Boss kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.