Nenda kwa yaliyomo

Thanos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Thanos.

Thanos ni mmoja wa wahusika wanaojitokeza katika vitabu ya vibonzo za kampuni ya huko nchini Marekani iitwayo Marvel Comics. Mhusika hiyo iliumbwa na Jim Starlin.

Kwa mara ya kwanza mhusika huyu alionekana katika filamu ya The Invincible Iron Man. Mhusika huyu amekuwa akionekana katika filamu nyingi za Marvel, mfano katika Avengers n.k.