Nenda kwa yaliyomo

ThankGod Echezona Ebenezer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ThankGod Echezona Ebenezer ni mtaalamu wa data za kibiolojia kwa kompyuta kutoka Nigeria.

Ebenezer anatokea kusini-magharibi mwa Nigeria allipata Shahada ya Uzamivu (Ph.D.) kutoka Chuo cha Churchill katika Chuo Kikuu cha Cambridge. Alifanya kazi kama mtafiti wa ngazi ya uzamivu chini ya Wilfried Haerty katika Taasisi ya Earlham, na baadaye alihamia Taasisi ya data za kibiolojia kwa kompyuta ya Ulaya (EBI). [1]

  1. Agaba, John (14 Februari 2023). "Scientists to sequence African species to safeguard biodiversity and secure food supplies". Alliance for Science Blog. Alliance for Science. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ThankGod Echezona Ebenezer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.