Nenda kwa yaliyomo

Thanin Kraivichien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thanin Kraivichien

Thanin Kraivichien (pia huandikwa kama Tanin au Kraivixien/Kraivichian; Kithai: ธานินทร์ กรัยวิเชียร) alikuwa jaji, mwanasiasa, na profesa wa sheria kutoka Thailand. Alizaliwa tarehe 5 Aprili 1927 na kufariki 23 Februari 2025.

Alikuwa Waziri Mkuu wa Thailand kati ya mwaka 1976 na 1977, kisha aliteuliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Siri (Privy Council) na hatimaye akawa rais wake mwaka 2016. Baada ya kifo cha Prem Tinsulanonda mnamo Mei 2019, Thanin alikua Waziri Mkuu wa zamani wa Thailand mwenye umri mkubwa zaidi aliye hai.[1][2][3]

{{eflist}}

  1. Nelson Peagam (1976), "Judge picks up the reigns", Far Eastern Economic Review, uk. 407
  2. "แต่งตั้งศาสตราจารย์พิเศษ" [Appointment of Adjunct Professors] (PDF). Royal Thai Government Gazette. 1 Septemba 1972. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Chris Baker; Pasuk Phongpaichit (2009), A History of Thailand (tol. la 2nd), Cambridge University Press, uk. 192, ISBN 978-0521-767-682