Thabatta Pimenta
Mandhari
Thabatta Pimenta de Medeiros Silva, anajulikana zaidi kama Thabatta Pimenta (alizaliwa 15 Januari 1992), ni mtangazaji wa redio, mwanaharakati, na mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Socialism and Liberty Party (PSOL). Anahudumu kama Diwani wa Jiji (city councillor) la Natal tangu mwaka 2025.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thabatta Pimenta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |