Nenda kwa yaliyomo

Tetrabenazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tetrabenazini
Jina la (IUPAC)
(SS,RR)-3-Isobutyl-9,10-dimethoxy-1,3,4,6,7,11b-hexahydro-pyrido[2,1-a]isoquinolin-2-one
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Xenazine, Xentra, Nitoman, mengineyo
AHFS/Drugs.com Consumer Drug Information
Kategoria ya ujauzito B3(AU) C(US)
Hali ya kisheria Prescription Only (S4) (AU) ? (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mdomo (vidonge)
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili Chini, Mchakato mkubwa wa mwanzo wa umeng’enyaji wa dawa (kwenye ini).
Kufunga kwa protini 82–85%
Kimetaboliki Ini kupitia kichocheo cha (CYP2D6)
Nusu uhai Saa 10 kwa dawa mama (saa 2 hadi 8 kwa mabaki hai ya dawa)[1]
Utoaji wa uchafu Ini (~75%) na kupitia kinyesi (7–16%)[2]
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe Ro-1-9569
Data ya kikemikali
Fomyula C19H27NO3 
  • InChI=1S/C19H27NO3/c1-12(2)7-14-11-20-6-5-13-8-18(22-3)19(23-4)9-15(13)16(20)10-17(14)21/h8-9,12,14,16H,5-7,10-11H2,1-4H3 YesY
    Key:MKJIEFSOBYUXJB-UHFFFAOYSA-N YesY
 YesY(Hiki ni nini?)  (thibitisha)

Tetrabenazini, inayouzwa kwa jina la chapa Xenazine miongoni mwa mengine, ni dawa inayotumika kutibu matatizo fulani ya mwendo, ikiwa ni pamoja na magonjwa ya kutikisika kwa mwili bila hiari wa Huntington chorea na tardive dyskinesia.[3][4] Inamezwa kwa mdomo.[4]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuhisi usingizi, mfadhaiko, kuwashwa, usawa duni, kichefuchefu, na kuanguka anguka.[3] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha prolaktini (homoni inayochochea uzalishaji wa maziwa ya mama) nyingi, shinikizo la chini la damu, kuongeza muda wa mapigo ya moyo (QT), ugonjwa mbaya wa neva, na shida katika kumeza.[3] Dawa hii ni kizuizi cha usafirishaji wa kemikali za neva aina ya monoamini 2.[3]

Tetrabenazini iliidhinishwa kwa matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2008[3] na inapatikana kama dawa ya kawaida.[4] Nchini Uingereza, vidonge 112 vya miligramu 25 viligharimu NHS takriban pauni 100 kufikia mwaka wa 2021.[4] Kiasi hiki nchini Marekani, kinagharimu takriban dola 1,500 za Marekani.[5]

  1. ↑ Yero, T.; Rey, J. A. (2008). "Tetrabenazine (Xenazine), An FDA-Approved Treatment Option For Huntington's Disease". P & T: A Peer-Reviewed Journal for Formulary Management. 33 (12): 690–694. PMC 2730806. PMID 19750050.
  2. ↑ "Xenazine (tetrabenazine) Tablets, for Oral Use. Full Prescribing Information. Revised: 6/2015" (PDF). H. Lundbeck A/S. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 31 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 1 2 3 4 5 "Tetrabenazine". drugs.com. American Society of Health-System Pharmacists. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 1 2 3 4 BNF (tol. la 80). BMJ Group and the Pharmaceutical Press. Septemba 2020 – Machi 2021. uk. 425. ISBN 978-0-85711-369-6.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: date format (link)
  5. ↑ "Tetrabenazine Generic Xenazine". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Novemba 2024. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)