Tetê Bezerra
Mandhari
Aparecida Maria Borges Bezerra, anayejulikana zaidi kisiasa kama Tetê Bezerra (alizaliwa 20 Julai 1957), ni muuguzi, mfugaji, na mwanasiasa wa Brazil. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Shirikisho (federal deputy) kutoka jimbo la Mato Grosso, akifanya kazi bungeni kuanzia mwaka 1995 hadi 2007 kupitia chama cha Brazilian Democratic Movement (MDB/PMDB).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tetê Bezerra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |