Tesher
Mandhari

Hitesh Sharma (aliyezaliwa tarehe 19 Septemba, mwaka 1995), anajulikana kibiashara kama Tesher, ni msanii kutoka nchini Kanada.rapa, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Musician Tesher: "I try to emulate a bit of euphoria in every song I make"". Mei 7, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tesher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |