Nenda kwa yaliyomo

Termux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Termux

Termux ni programu huria na isiyolipiwa ya terminal emulator kwa ajili ya mfumo endeshi wa Android, inayoruhusu kuendesha mazingira ya mfumo endeshi wa Linux kwenye kifaa cha Android.[1]


  1. "ZSH - Termux Wiki". Termux. Julai 30, 2020. Iliwekwa mnamo Agosti 17, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.