Teresa Errandonea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teresa Errandonea (alizaliwa Novemba 15, 1994) ni mwanariadha wa Hispania.[1]Alishindana kwenye mita 100 za kuruka vikwazo kwa wanawake katika olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hayden, Mary Teresa, (died 12 July 1942)", Who Was Who (Oxford University Press), 2007-12-01, retrieved 2021-10-03 
  2. "Tomonaga, Dr Sin-Itiro, (31 March 1906–8 July 1979), Professor Emeritus, since 1969, Tokyo Kyoiku University (Tokyo University of Education)", Who Was Who (Oxford University Press), 2007-12-01, retrieved 2021-10-03 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa Errandonea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.