Tepic, Nayarit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Tepic, Nayarit



Jiji la Tepic
Nchi Mexiko
Jimbo Nayarit
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 295,204
Tovuti:  www.tepic.gob.mx

Tepic ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Nayarit upande wa kati ya jimbo. Kuna wakazi 295,204, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 336,403. Eneo lake ni 1,983.3 km².

Mji upo m 930 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Nuño de Guzmán mwaka 1532.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tepic, Nayarit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.