Nenda kwa yaliyomo

Teotista wa Caccamo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Teotista (pia: Theoktisto wa Caccamo; karne ya 8 - 4 Januari 830) alikuwa mmonaki, halafu abati wa Kibazili katika kisiwa cha Sicilia, leo nchini Italia, maarufu kwa miujiza[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/96421
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.