Nenda kwa yaliyomo

Teodoro Paleologo (kardinali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teodoro Paleologo (anayejulikana kama Kardinali wa Monferrato; Casale Monferrato, 14 Agosti 1425Asti, 21 Januari 1484) alikuwa kardinali na askofu wa Kanisa Katoliki.

Alizaliwa na Yohane Yakobo, mtemi wa Monferrato, na Yoana wa Savoie, binti Amadeus VII, mtemi wa Savoie, na dada wa Antipapa Felix V. [1]

  1. Miranda, Salvador. "PALEOLOGO DI MONTFERRATO, Teodoro (1425-1484)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.