Telekis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Telekis (pia: Teleki) ni volkeno yenye kimo cha mita 603 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana, Kenya[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org