Teker Riek Dong
Mandhari
Teker Riek Dong ni mwanasiasa wa South Sudan. Amehudumu kama Gavana wa Jimbo la Southern Liech tangu 24 Desemba 2015.
Yeye alikuwa gavana wa kwanza wa jimbo hilo, ambalo liliundwa na Rais Salva Kiir Mayardit tarehe 2 Oktoba 2015.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ssnanews. "South Sudan's President appoints 28 Governors, defies peace agreement". www.southsudannewsagency.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-02. Iliwekwa mnamo 2026-05-27.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teker Riek Dong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |