Nenda kwa yaliyomo

Ted Bundy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ted Bundy

Ted Bundy 1978]
Nchi Marekani
Kazi yake Mwalifu

Theodore Robert Bundy (Novemba 24, 1946 - Januari 24, 1989) alikuwa muuaji, mtekaji, mbakaji na jambazi kutoka Marekani ambaye alishambulia na kuua wanawake wa makamo na wasichana wengi kati ya miaka ya 1970 na kabla ya hapo.

Muda mfupi kabla ya kuuawa, alikiri kutekeleza mauaji 30 ambayo aliyafanya katika mataifa saba kati ya 1974 na 1978.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ted Bundy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.